Mashabiki wa simba mbona siwaelewi
1. Mtu anajiuzulu vipi ajatoa progress ya team akitoka? How will things run?
2. Shida ya simba nini?? majibu?
3. Wakati huu wa usajili na mipango ya mwakani?? nani atatoa orientation?? au mna za upya??
4. MO makazi yake ni dubai?? vipi?? chairman via...