Mapema wiki hii, Tyrese aliingia kwenye Instagram Live ili kuangazia zaidi uhusiano wake na Zelie Timothy—mwanamitindo ambaye walianza mahusiano mnamo 2021.
Alipoulizwa jinsi wawili hao walikutana, Tyrese aliwaambia watazamaji kuwa yeye ndiye alianza kumDM dada huyo hata hivyo Zelie aliingilia...