uadilifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  2. Fanton Mahal

    Maisha ya uadilifu ni magumu sana. Sasa hapa sijui nitasaidika vipi kwa hiki kipindi

    Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa. Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
  3. Waufukweni

    Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  4. Ndagullachrles

    Waziri Chana apongeza utendaji kazi TANAPA, asisitiza uadilifu kufikia malengo

    ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii. Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
  6. K

    Waziri Rajab Salum: Nguzo ya Uadilifu na Uzalendo Licha ya Fitina na Propaganda

    WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua. Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine...
  7. ngara23

    Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
  8. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aelekeza Watumishi wa Ardhi wasio waadilifu kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika kutekeleza majukumu yake. Waziri Ndejembi ametoa...
  9. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
  10. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Ndumbaro Awakumbusha uadilifu UVCCM, Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini wawe waadilifu katika utekelezaji wa majukumu ya Chama na maelekezo ya viongozi ili kukiendeleza Chama...
  11. G.T.L

    Kwa yanayoendelea Arusha na RC Makonda, ni dhahiri watumishi wa umma wengi ni wazembe na hawana sifa!

    Wasaalam. Ni declee interest na mimi ni Mtumishi wa Umma. Hili swala linaloendelea Arusha likiratibiwa na RC wa Arusha ni uthibitisho tosha sisi watumishi wa umma wengi wetu tuko Incompetent, Wazembe na Uadilifu uko chini. Pamoja na wengi wanasema haya ni maigizo ya RC lakini emu chukua muda...
  12. The Sheriff

    Je, mgombea unayemuunga mkono ana sifa za uadilifu na uwezo unaohitajika kwa kazi hiyo?

    Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni lazima tuzingatie sana sifa za mgombea tunayempigia kura, ikiwa ni...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani

    Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira viwandani ili waendelee kunufaika kwa pamoja na...
  15. JamiiCheck

    Guterres: Tuwe na enzi mpya ya uadilifu kwenye mitandao ya kijamii ili tukomeshe upotoshaji

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres wakati akizindua ripoti maalumu iliyoundwa ili kuimarisha uadilifu wa habari kwenye majukwaa ya kidijitali. Kengele ya hatari kuhusu tishio linaloweza kusababishwa na maendeleo yanayokuwa kwa kasi ya Akili Bandia (AI) haipaswi kuficha uharibifu...
  16. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

    Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA. BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam. Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote. . Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee. Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza...
  17. M

    Ridhiwani ahimiza uadilifu

  18. Mwl.RCT

    SoC03 Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania

    Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI a) Muktadha wa mada na umuhimu wake: Tanzania ni nchi inayojitahidi kufikia maendeleo endelevu kwa wananchi wake. Ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na...
  19. Mwl.RCT

    SoC03 Uadilifu na maendeleo: jinsi uadilifu unavyoathiri maendeleo, amani na haki katika jamii

    UADILIFU NA MAENDELEO: JINSI UADILIFU UNAVYOATHIRI MAENDELEO, AMANI NA HAKI KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uadilifu ni sifa ya kuwa mwaminifu, mwadilifu na mwenye haki. Ni tabia inayohusisha kufanya maamuzi sahihi na kufuata kanuni za maadili. Uadilifu ni muhimu sana katika...
  20. Mathew Leloo

    SoC03 Leo hii uadilifu uzingatiwe

    Katika mada yetu mwaka huu, kama we ni kiongozi jiulize maswal adilifu, nini maana ya uadilifu? Je, Kama viongozi, mnaongoza watu wenu kwa uadilifu? Je, nini hutokea kiongozi Anapokosa uadilifu? Jiulize maswal adilifu: • Je, ninashuku kwamba kitendo Fulani kinaweza kuwa cha haramu au...
Back
Top Bottom