Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini wawe waadilifu katika utekelezaji wa majukumu ya Chama na maelekezo ya viongozi ili kukiendeleza Chama...