uadilifu wa viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

    Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa. ========================================================= Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi...
  2. Kiongozi aliyemezwa na tamaa kwa kuwadhulumu mafukara haamini kama kuna siku ya kiama

    Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea, na kuvihifadhi. Mheshimiwa Rais anasisitiza haki, lakini wewe husikii; umeweka pamba masikioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…