uadilifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Moyo wa simba: Kuimarisha ujasiri na uadilifu katika maamuzi yako

    MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
  2. Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  3. SoC03 Uwazi na Uadilifu: Nguvu ya Uongozi Bora katika Kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii

    UWAZI NA UADILIFU: NGUVU YA UONGOZI BORA KATIKA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII. Imeandikwa na: MwlRCT Uongozi ni nguzo muhimu katika jamii yoyote. Ni kupitia uongozi bora ndipo jamii inaweza kupiga hatua na kufikia malengo yake. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto nyingi katika uongozi...
  4. Asante Ali Hassan Mwinyi. Hussein Mwinyi aliandaliwa, ni mwadilifu!

    WanaJF Salaam! Maji hufuata mkondo wake - Rais wa awamu ya pili wa JMT alijizaa mfano wake. Hussein Ally Hassan Mwinyi (Rais wa sasa wa nchi ya Zanzibar) ni kiongozi shupavu na mwadilifu sana! Chini ya uongozi wake naiona Zanzibar inayofunguka - naiona Zanzibar inayobadilika - naiona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…