uae

The United Arab Emirates (UAE; Arabic: الإمارات العربية المتحدة‎ al-ʾImārāt al-ʿArabīyah al-Muttaḥidah), sometimes simply called the Emirates (Arabic: الإمارات‎ al-ʾImārāt), is a country in Western Asia located at the eastern end of the Arabian Peninsula. It borders Oman and Saudi Arabia, and has maritime borders in the Persian Gulf with Qatar and Iran.The UAE is an elective monarchy formed from a federation of seven emirates, consisting of Abu Dhabi (which serves as the capital), Ajman, Dubai, Fujairah, Ras Al Khaimah, Sharjah and Umm Al Quwain. Each emirate is governed by a Sheikh and, together, they form the Federal Supreme Council; one of them serves as President of the United Arab Emirates. In 2013, the UAE's population was 9.2 million, of which 1.4 million were Emirati citizens and 7.8 million were expatriates; the estimated population in 2020 was 9.89 million.Islam is the official religion and Arabic is the official language. The UAE's oil and natural gas reserves are the sixth- and seventh-largest in the world, respectively. Zayed bin Sultan Al Nahyan, ruler of Abu Dhabi and the country's first president, oversaw the development of the Emirates by investing oil revenues into healthcare, education, and infrastructure. The UAE's economy is the most diversified of all the members of the Gulf Cooperation Council, while its most populous city, Dubai, is a global city and international hub. The country has become less reliant on oil and gas, and is economically focusing on tourism and business. The UAE government does not levy income tax, although there is a corporate tax in place and a 5% value-added tax was established in 2018.The UAE is recognised as a regional and a middle power. The UAE is a member of the United Nations, the Arab League, the Organisation of Islamic Cooperation, OPEC, the Non-Aligned Movement, and the Gulf Cooperation Council (GCC).

View More On Wikipedia.org
  1. Yani uchafu waliouondoa UAE eti Ulaya ndio wanao entertain kwa minajili ya liberty na kuwa politically correct

    Ebu ingia hapo UAE, nchi ya Kiarabu iliotajirika, nchi yenye nguvu kuu yaku-attract asilimia kubwa ya wahamiaji kutoka mataifa ya kiarabu mengine lakini ... Hakuna grooming gangs Hakuna rape cults Hakuna extremist organizations Hakuna extremist charities Hakuna extremists on welfare Hakuna...
  2. Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  3. Waziri Kombo awasili UAE kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya uhusiano kati ya Tanzania na UAE

    WAZIRI KOMBO AWASILI UAE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA UAE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhusiano wa...
  4. A

    Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

    Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel...
  5. Tetesi: Kampuni ya Kifahari ya Uarabuni (UAE) Yahusishwa na Uwindaji Haramu Tanzania

    Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Watoa taarifa hawa ni kutoka kampuni ya Ortello – wakati mwingine...
  6. Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  7. UAE yawafunga raia 57 wa Bangladesh kutokana na maandamano dhidi ya Serikali

    Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao. Washtakiwa watatu kati ya hao ambao hawakutajwa majina walihukumiwa kifungo cha maisha kwa "kuchochea ghasia katika mitaa...
  8. Carbon offsets: UAE own %8 of Tanzania Forest

    Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na athari zinazohusiana: Sababu za UAE Kununua Ardhi Afrika 1. Usalama wa Chakula: UAE ina eneo dogo la...
  9. UAE yaitaka Israel ikome kuwahusisha na kile wanachokiita kuitawala Gaza baada ya vita

    Waziri mkuu wa falme za kiarabu,Abdullah bin Zayed amemshushua waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibu kwamba nchi ya UAE, Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu yatasaidia kuiendesha Gaza baada ya vita. Waziri huyo kwanza amemtaka Netanyahu kutambua...
  10. Acharya Krishnam asifu hekalu la kwanza la Kihindu la UAE, akimpongeza PM Modi kwa kubeba hadhi ya India ulimwenguni

    Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
  11. Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  12. A

    Matatizo ya Mikopo yaiweka pabaya Misri

    UAE in talks to buy Egypt coastline for $22bn The United Arab Emirates has expressed an interest in buying the Ras El Hekma area on Egypt’s northern coast as a form of economic support for Cairo, Egyptian newspapers have reported. The privately-owned Egyptian newspaper Al Mal stated on Sunday...
  13. Falme za Kiarabu (UAE) zalaani vituko vya Houthi

    Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani..... The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat"...
  14. Oman yakamata drones zilizokua zinapelekwa Yemen kutokea UAE

    Hizi habari zinanichanganya, mbwa kala mbwa au mwenye uelewa wa hawa watu atusaidie, iweje Oman huko huko wakamate drones zinazopelekwa Yemen kutokea UAE, si wote kitu kimoja? ===== Omani customs authorities seized a shipment of drones hidden in a truck from the UAE heading for Yemen on 10...
  15. I

    UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  16. I

    Russia yaiunga mkono UAE dhidi ya Iran kwenye mzozo wa kugombania visiwa

    Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo...
  17. The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Inaitwa new scramble for Afrika, shehe wa UAE ana own 8% of our forest na siyo kwetu tu na kwingine labda inaeleza safari nyingi za UAE kila mara kulingana na hiyo habari kutoka kwenye renowned newspaper hakuna faida yoyote tutaipata Shehe wa dubai atavuna mabilioni someni wenyewe … The new...
  18. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  19. Tanzania yaihakikishia UAE mazingira salama ya Biashara, Uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
  20. DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…