Jaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
Wakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics).
Naombeni maoni yenu kama wakubwa zangu wenye upeo mkubwa juu ya hii kozi yangu kama mnavojua...