Ndugu zangu watanzania,
Vijana Mitaani wanazitafuta kadi za CCM Kama madini ya Dhahabu,wanapita na kuwatafuta makatibu Tawi wa CCM kwa bidii kubwa Sana ili waweze kupewa kadi na kujiunga na CCM na kuweza kushirikiana na Wana CCM wenzao katika ujenzi wa Taifa letu.
Hii Ni baada ya serikali ya...