Kila mwanaume angeweza kusoma hiki kitabu cha Esther Villar In her book "THE MANIPULATED MAN "
Mwanamke jinsi anavo rubuni mwanaume tangu zamani na kuwabadili kua watumwa wao wa milele wanawake hujifanya kwamba ndo wanao nyanyaswa na kutumikishwa wakati wao ndo wanyanyasaji wakubwa wa wanaume...