Wanufaika wa miradi inayofadhiliwa na TNRF, GEF SGP kupitia UNDP Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uandaaji wa taarifa na kujengewa uwezo wa utekelezaji wa miradi.
Connecting Youth Connecting Tanzania (CYCT) imeshiriki kikamilifu katika warsha ya...