Wakuu,
Naona zoezi la uandikishaji linazidi kuwa la moto, naona waandikishaji sasa hivi washaanza kula viapo huko
Kwenye taarifa ya tume hawa waandikishaji wameapa "kutunza" siri za Ukumbi wa Halmashauri.
Sasa najiuliza hizi siri wanazotakiwa kutunza ni zipi ambazo wananchi hawatakiwi kujuq...
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa kuwachagua viongozi wanaowataka.
Akizungumza baada ya kutembelea vituo vya uandikishaji Wilaya ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Machi, 2025.
Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi mkoani Morogoro...
CCM na serikali yake hawapaswi kutulazimisha kujiandikisha katika uchaguzi huu mdogo badala yake mnapaswa kujiuliza kwanini watanzania hawataki kupiga kura
Ni wazi kwamba wananchi walio wengi wamegundua kuwa hizi kura ni kiinimacho tu lkn ushindi kwenu lazima
Mtu mwenye akili...
Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza tarehe 11 Oktoba 2024.
“Kufikia jioni ya tarehe 14 Oktoba 2024, siku nne tangu kuanza kwa zoezi hili...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo...
daftari la wapigakuradaftariwapigakura
dodoma
kuelekea 2025
lge 2024
rais samia
serikali za mitaa
uandikishajidaftariwapigakurauandikishaji wa wapigakura
uchaguzi serikali mitaa
uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi wa serikali za mitaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.