Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura.
Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura, zoezi litakaloanza tarehe 12-18 Januari, 2025.
Pamoja na mambo mengine...
Kuelekea kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Iringa imeelezwa kuwa kuna vituo vipya vipatavyo 140 vimeongezwa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 15, 2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mtibora Seleman katika...
Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483...
Huu utaratibu ni mbaya na una dosari nyingi sana. Kama kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ana kadi yake ya kupigia kura sasa kwa nini katika uchaguzi huu ingependeza kila mwananchi atumie kadi yake ya kupigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kwa uchaguzi huu Vyama...
Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni.
Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura. Kwenye daftari la wapiga kura hatuandikishi CCM, CHADEMA, etc bali...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa.
Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo...
daftari la wapiga kura
daftari wapiga kura
dodoma
kuelekea 2025
lge 2024
rais samia
serikali za mitaa
uandikishaji daftari wapiga kurauandikishajiwawapiga kura
uchaguzi serikali mitaa
uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi wa serikali za mitaa
Wakuu,
Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar.
Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi.
Hamna social media campaigns, matangazo ya...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi wasijiandikishe ili zoezi la upigaji kura liwe rahisi kwa CCM.
Matangazo hayatolewa kwa wingi...
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.
Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.
Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.