Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura linaloendelea Zanzibar.
Chini ya mpango huo wameanza kwa kufungua mashitaki dhidi ya mkuu wa wilaya ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo limefanyika kwa ukamilifu wa hali ya juu na kwamba wao kama chama, wameridhishwa.
Soma, Pia
Special...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo...
Zoezi la Uandikishaji Wananchi watakaoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 limekamilika ambapo kwa mujibu wa TAMISEMI, takriban Watu Milioni 32.9 (94%) wamejiandikisha
Kwako Mdau, una mtazamo gani kuhusu zoezi hilo lilivyoendeshwa ikiwa ni takriban mwezi mmoja umesalia...
Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji.
Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J
Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji
Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda.
Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa?
=====
Ikiwa imebaki siku moja...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara yake ya kuangalia jinsi huduma za uandikishaji wa wananchi wenye sifa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024, zinavyotolewa.
Soma Pia: RC Makonda apiga chai na...
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo.
Mnyika amesema kuwa kauli ya Mchengerwa alidanganya aliposema kuwa kuna mwamko mkubwa wa wananchi katika zoezi la...
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni ujinga na uwenda wazimu. Yaani mtu unataja jina lako na tarehe ya kuzaliwa na unasaini basi umemaliza na...
Wakuu salama?
Zoezi la kujiandikisha limezinduliwa jana Oktoba 11 na Rais Samia, meona nianzishe uzi huu ili tushee picha na video za maeneo ambayo tunaenda kujiandikisha kupiga kura.
Kuona vituo vikoje, mazingira kwa ujumla yanaridhisha? Au mnaandikishwa chini ya mti🌚!
Ukiweka picha na video...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.