Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono.
Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama...