Ndugu zangu Watanzania,
Hii leo June 13 Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akiwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma amefanya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua siku chache zilizopita.Uteuzi ambao uliteka mijada mbalimbali ya kisiasa hapa...