Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.
Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.
Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?
Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako amekwenda kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Ramaphosa utakaofanyika...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku moja kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Matamela Cyril Ramaphosa ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo.
Rais Mteule Matamela Cyril Ramaphosa...