Kwa wakristo angalau watakuwa na kazi nyepesi kuliko waislam katika hili.
Mungu ni Mungu wa binadamu wote. Ili umuelewe vizuri na umfaidi inabidi utoe uarabu na uzungu kwenye Biblia na Quran ndio angalau utaanza kumfaidi.
Mungu sio wa wazungu, hata wao walikuwa wanaabudu mapangoni kama...