Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Watoa taarifa hawa ni kutoka kampuni ya Ortello – wakati mwingine...
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni.
Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
Beki huyo wa kushoto wa Yanga amemalizana na klabu yake hiyo baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023\2024
Ambapo uongozi wa Yanga walitaka kumpa mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini Lomalisa aliomba kuondoka klabu hapo nakwenda kutafuta changamoto mpya.
Lomalisa ambaye amecheza kwa mafanikio ndani...
Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini.
Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
Anonymous
Thread
dada
dada zetu
iangalie
makini
mawakala
serikali
uarabuni
Haya wale tuliompenda Kipindi cha nyuma na Kumpa yale Magunia yetu ya Mchele, Viazi na Sukari pale Temeke tafadhali tuanze Kuviandaa tena kwani anarejea rasmi Nyumbani.
Yaani huku kuna Mpaka Ukome, kule kuna Maksi za Darasani, hapa jirani ( kati ) kuna Ufunguo unaofungua Kokote na kule mbali...
Salaam, Shalom!!
Mwalimu Nyerere alipotuambia KILIMO ni UTI wa mgongo, alionyesha Kwa vitendo Kwa kuwachukua watoto wake kina madaraka , na ndugu na kwenda nao shambani.
Uongozi ni vitendo Si maneno, mvua zinanyesha sasa, viongozi wanatwambia watoto na ndugu zetu waache mashamba Eti waende...
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.
Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.
Wanadai wakiripoti...
Serikali inatia aibu wakati mwingine.
Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi!
Na unyanyasaji na...
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Tuliofuatilia tunajua kuwa...
Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa kusafiri.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Anne Ong'injo amesema mshtakiwa anapaswa kuadhibiwa sio tu kwa lengo...
Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati.
Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa.
Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada.
Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
Neymar Jr ameondoka katika soka la ulaya akiwa na miaka 31 tu. Ameenda zake Saudi Arabia kuungana na mastaa wengine waliokimbilia katika ligi hiyo.
Baadhi ya ofa ambazo Neymar atazipata katika mkataba wake huko katika klabu yake ya Al Hilal.
Ofa hizo ni kama ifuatavyo;
1. Jumba la kifahari...
KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha...
Waarabu awamu ya nne walikuwa wanajipimia kila walichokipenda kupeleka kwao uarabuni.
Madege makubwa ya mizigo yalisomba kila aina ya raslimali kwenda kwao uarabuni.
Watanzania walipiga kelele lkn kwa kuwa waarabu walikuwa na kiburi juu ya utawala uliokuwepo hawakujali waliendelea kusomba...
Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...