Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?
hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
Habari wakuu!!
Wote tunaamini ipo siku tatasimama mbele za Mungu kutoa hesabu ya yale tuliyoyafanya, mambo ambayo yatatupa uhalali wa kuingia mbinguni au kukataliwa na kutupwa kwenye ziwa la moto! Mtu haendi motoni kwa sababu amefanya dhambi ila anaenda motoni kwa sababu amekataa kutubu hiyo...
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!
MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!
1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu
2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio)
3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa.
Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si mazuri.
Vitabu vitakatifu nasoma sana.
Sasa Nifanyaje niepukane nazo?
Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!.
Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho...
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa.
Serikali ya Marekani na Maafisa wa kutekeleza #Sheria wamedai kuwa TikTok, inayomilikiwa na kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.