ubabaishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Father of All

    Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ulega Akemea Ubabaishaji na Rushwa

    ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema vinaweza kufuta mazuri yote ambayo taasisi hiyo imeyafanyq na inaendelea kuyafanya. Akizungumza na...
  3. TozzyMay

    Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

    Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu. Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
  4. D

    Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

    Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria. “Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote...
  5. Yoda

    Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  6. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
  7. Trainee

    Nida na watu wa mitandao acheni ubabaishaji katika suala la kufuta usajili wa namba

    Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika? Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
  8. S

    Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
  9. T

    DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  10. Ileje

    Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  11. Wakili wa shetani

    Miradi ya umwagiliaji ya awamu ya sita ni ya ubabaishaji

    Rais wa awamu ya sita aliahidi kuwa ana lengo la kuweka ekari 500,000 chini ya umwagiliaji. Ni mpango mzuri sana. Ila utekelezaji wake ni kichekesho sana. Nasema hivyo sababu wamejikita zaidi kwenye umwagiliaji wa matone na visima. Umwagiliaji huu hauwezi kutufikisha popote katika kilimo...
  12. safuher

    Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

    Habari za jioni wakuu,natumai wazima. Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana. leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando). CHa kushangaza saa nne na...
  13. B

    DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha walizoambiwa watapewa washindi. Mbali na tuzo walizokabidhiwa siku ya sherehe, washindi waliahidiwa...
  14. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  15. LIKUD

    Ubabaishaji? Simba wa ahirisha kuzindua jezi

    Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao. Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
  16. Smt016

    Yanga bado uswahili na ubabaishaji unatusumbua

    Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika kwa kucheza walau mechi zisizopungua nne ili kuimarisha vikosi na pia kuwaweka wachezaji katika...
Back
Top Bottom