ubabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ubabe: Vyama, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Serikali Ukemewe

    Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba. Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
  2. I

    Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

    Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
  3. Jeshi la Rwanda kwenda kukomboa miji iliyokuwa chini ya waasi huko msumbiji je ni kutuonyesha ubabe au?

    Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo. swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi...
  4. Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

    “Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
  5. Ndugai aonesha ubabe wake. Yeyote anayetaka kumtunishia misuli lazima afikirie mara mbili

    Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani. Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...
  6. Watumishi 6 waliofukuzwa kazi Halmashauri ya Siha wamwangukia Rais Samia, waomba iundwe tume huru

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi katika halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia suala lao na kisha kuunda tume huru kuchunguzwa namna walivyofutwa kazi kwa madai kwamba kuna uonevu mkubwa ulifanyika. Mbali na kufutwa kazi pia wameiangukia tume huru ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…