LEAT ilikuwa ni moja kati ya taasisi kubwa sana, ikipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, kiasi kwamba ikawa na ofisi mikoani, pale Mwanza walikuwa na ofisi jengo la Nyanza ghorofa ya juu,.
LEAT haikudumu. Lissu na Nshalla na mwenzao mmoja sasa marehemu walifyeka hela zote na kuingiza mifukoni...
Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kwa gharama kubwa lipo tupu na halitumiki...
Morogoro Mjini kata Tungi (ambako ndio makao makuu NIDA mkoa) kuna ujenzi wa barabara ya lami, ni pongezi japo ujenzi ulicheleweshwa kwasababu za kisiasa kwani baadhi ya viongozi walikuwa wakisema fedha ya WORLD BANK ilishatengwa kwa barabara hiyo lakini imeenda kujenga barabara nyingine kata ya...
Anonymous
Thread
tungi morogoro
ubadhirifu dodoma
ubadhirifufedhazaumma
ujenzi wa barabara
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi.
Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote, hii inamaana wanapata baraka kutoka juu.
Pesa hizi zinazoibiwa ndio zinasababisha maisha ya...
Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA.
Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani.
Mambo ya ovyo yanayofanywa na viongozi wengi wa serikali hawana habari nayo kwa sababu wao wanashibishwa kwa...
Nimesoma gazeti la leo la Mwananchi Juni 1, 2024 ukurasa wa mbele lina kichwa kisemacho, Bajeti ya Ujenzi Mnyukano hoja ya Mdee na Mawaziri watatu kuhusu mikataba iliyosainiwa na Profesa Makame Mbarawe ya kujenga barabara kilomita 2,035 kwa kiwango cha lami kwa utaratibu wa EPC+F.
Mbunge wa...
Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.
Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01...
Miradi ya Meli, SGR na Maji yakwama Mwanza, pesa zinapigwa na Serikali yagoma kupeleka pesa
Miradi mikubwa mitatu ya kimkakati iliyopo jijini Mwanza iliyoanzishwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufu, imekwama kutokana na ukosefu wa fedha.
Miradi iliyokwama ni pamoja...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.
---
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa...
Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma.
Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...
Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia na wananchi wanampongoza awamu ya sita Kwa kuwaachia matajiri; lakini tujiulize NI maskini gani...
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais...
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya.
Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
bodi ya mikopo elimu ya juu
elimu bure
elimu ya juu
elimu ya juu bure
fedhazaumma
mikopo elimu ya juu
ubadhirifufedhazaumma
ufisadi
vyuo vikuu
wanafunzi vyuo vikuu
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na Katibu wa CCM ni cha kijasiri mno na upekee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.