Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa.
Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa.
Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...