Jana tarehe 25/1/2022 wazazi wenye watoto Shule ya Msingi Magu walikuwa na kikao ambacho kiliitishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Shule kwa taarifa kupitia kwa watoto.
Kikao kilihudhuriwa na wazazi wengi (japo siyo wote); lakini mwitikio ulikuwa wenye kuridhisha.
Kikao hicho pia kilihudhuriwa na...