ubaguzi kazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwongozo wa Sheria ya kazi kwenye kukataza ajira ya mtoto, ajira ya shuruti na kupiga marufuku ubaguzi katika ajira

    Sheria imeweka kinga maalum za msingi ili kuhakikisha mazingira ya kazi yanakuwa ya staha na heshima kwa kukataza ajira ya mtoto, ajira ya shuruti na kupiga marufuku ubaguzi katika ajira. Makatazo haya yanawahusu pia, Jeshi la Wananachi wa Tanzania, Polisi, Magereza na Jeshi la Kujenga Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…