Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada ya kuhojiwa na polisi kwa muda mfupi tu. Ikiwa ni miaka mitatu tangu George Floyd auawe kwa kukosa...