VIJANA wa kike wameshauriwa kujiunga na masomo ya ubaharia, ili kuziba pengo la uhaba wa jinsi ya kike katika sekta ya Uchukuzi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya Ilemela, Hassan Masala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati akihitimisha maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani leo...