Habari wadau
Nazani wote tunaona Trump anachofanya.
Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli.
Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana.
Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,
7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure.
🥺🥺🥺🤔🙇🏿♂🙇🏿♂🙌🏿🚶🏾🚶🏾🚶🏾🏃🏿🏃🏿
Kwahiyo tusile vya...
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Nataka niwasaidie wana-JF
Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs .
Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, mfano unaona sehemu kuna nafasi ya Kazi usisite kumshtua MTU unayemjua akaenda Ku-cover hiyo...
Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana.
Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same.
Ni mji unaoweza...
Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE"
Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20.
Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
Wasalaam JF,
Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba.
1. UBAHILI
2. KIBURI
3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI
Hakuna timu Ambayo imesajili quality players Isipate matokeo Mazuri Uwanjani. Ukisajili vizuri utapata matokeo mazuri...
Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa.
Hatua kumi [10] za kutumia ubahili positively;
1. Chemsha maji ya kunywa nyumbani.
2. Usinywe soda, nunua blender tengeneza juisi yako mwenyewe, afya na pesa zako utasave za kunywa soda ovyo ovyo.
3. Usinunue...
Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.
Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie. GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno...
Wasalaam Wakuu.
Ubahili ni moja ya nguzo muhimu Sana katika kufanikiwa. Ni hali ya kuwa na nidhamu ya fedha kwa kujibana au kutafuta njia za kupunguza gharama zisizo na msingi. Lengo kuu hasa la ubahili ni ku-save na ukishakuwa na savings za kutosha, bila shaka maisha yataenda vema.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.