Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.