Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini.
Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani Barke Sehel alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti.
Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo.
Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023.
Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana.
Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa kubaka na kulawiti hawatofungwa na wataishi maisha ya uraiani na kazi hawatofukuzwa sababu ni watu...
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin.
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani Tanga. Ni zaidi ya wiki kama tatu hivi tangu tukio hilo lifanyike lakini rushwa ndio inatembea...
Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande'...
Baada ya RPC wa Dodoma kutoa kauli inayoonekana kuhalalisha kitendo cha binti kubakwa, watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati, wamelaani kauli ile na kutaka RPC awajibishwe.
Hata kuondolewa kwa huyu RPC bila shaka ni matokeo ya watu waliopoza sauti na si vinginenyo.
Swali ni je, kuna...
Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).
Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo...
Wakuu,
Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba!
Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
binti aliyebakwa yombo
binti aliyelawitiwa
binti wa yombo
dpp
kesi ya kulawiti
kesi ya ubakaji
kubakwa
polisi
polisi tanzania
sacp theopista mallya
tanzania
ubakajinaulawiti
ukatili wa kingono
ukatili wa polisi
ulawiti binti wa yombo
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.