Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo.
Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...