Naishauri serekali ya Tanzania ifungue balozi za Israeli na Ukraine nchini tena kuwe naushirikiano haswa. Wa Israel, kutokana na Israel kuwa na teknolojia ya Hali ya juu, tupeleke na wanafunzi wakajifunze, huko tuwe na ushirikiano wa kijeshi tupeleke makomando wetu wakapate mafunzo, Israel na...