Kwanza Oujia ni nini?
Huu ni ubao wenye alfabeti na ishara nyingine kadhaa ambazo kwa kuangalia tu zinakupa taswira ya kitu fulani kisicho cha kawaida.
Taswira ya kitu kisicho cha kawaida hukujia kutokana na aina kadhaa ya image zilizopo kwenye ubao wenyewe na ambazo baadhi ya watu wanaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.