ubashiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shooter Again

    RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  2. Mturutumbi255

    Utabiri vs. Ubashiri: Tofauti na Umuhimu katika Michezo ya Mpira wa Miguu

    Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu. 1. Utabiri: - Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
  3. Komeo Lachuma

    Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  4. Webabu

    Marekani yaanza kujibabadua kutoka ubashiri wa michezo (Betting).Athari zake zinaharibu uchumi na kutesa watu

    Kwa ushamba wa nchi za kiafrika hawatendi mpaka kitu kiwe kimeanzia kwa wazungu na hawaachi kutenga mpaka wazungu waseme kina madhara. Michezo ya kamari katika michezo imekuwepo kwa miaka mingi nchini Marekani na hata kutungiwa sheria na majimbo mbali mbali ili ifanyike bila matatizo.Hata hivyo...
  5. A

    Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

    Mambo vipi Mdau, Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie, Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu...
  6. xxtycoon

    Historia ya ubashiri duniani

    Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti. Katika dini...
  7. DR Mambo Jambo

    Nini chanzo cha ongezeko la Maafisa ubashiri (Wanaobeti) na maafisa usafirishaji (Bodaboda)..?

    Ni kwamba hizi biashara zinalipa sana au Ni kwa sababu vijana wetu wengi hawana shughuli mjini...? Ni kwa sababu Hatuna njia nyingine ya kufikiri kujikimu kwa mahitaji yetu ya kila siku..? Au ni kwa sababu ya Kuongezeka kwa Gharama za maisha? Ushauri jinsi ya kujinasua au kuzifanya shughuli...
  8. Joseverest

    FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  9. T

    Job Ndugai aliachia kiti kwa ubashiri wake tu! Huyu aliyepo anashirikiana na wezi? Basi ang'olewe haraka sana!

    Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa! Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM Kipindi cha...
  10. Cytochrome p450

    Ubashiri wangu kuelekea mechi za weekend

    Naam, burudani ya soka inarudi tena weekend hii baada ya mapumziko mafupi kupisha michuano ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, hivyo tutashuhudia mitanange kadhaa itakayopigwa katika madimba mbalimbali na nikiwa kama mdau wa soka nimeangazia michezo kadhaa kutoka katika ligi pendwa ya...
  11. Teko Modise

    Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

    Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!! Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri. Matokeo yangu ni 1-1
  12. Citizen B

    Kwa genius Tu: namba ipi inayofata?

    Wale Ambao mlikuwa hamkeshi Na Mbu darasani, miguu ikiwa kwenye beseni la maji kama Sisi ila mnaongoza ikija mitihani. Twende kazi 1,2,4,8,16,31,?
  13. Gwele

    UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

    Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8. Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho. Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga...
Back
Top Bottom