Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili.
Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia jinsi Ukomunisti/ujamaa ulivyotenda ukatili mkubwa sana huko China, Russia, Cambodia, Romania, Vietnam...
Sera za ubepari zinazungumziwa sana sababu ya wivu wa watu wanaochukia sera hizo kutoka marekani.ila sera za ujamaa zinatisha sana zilipotokea urusi.
nchi nyingi zilizopitia sera za ujamaa zijawai kuwa sawa na hata kama zipo kwenye ubepari basi ni ule wakujaribu sababu ujamaa unaendelea kwenye...
Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada:
Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism.
Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
KWENYE UBEPARI SIO JUKUMU LA SERIKALI KULINDA MAADILI YA MTOTO WAKO.
Anaandika, Robert Heriel.
Akiwa teja shauri yako. Akiwa Shoga utajua mwenyewe na toto lako. Akiwa litoto lilevi na linaloshinda vijiweni haiwahusu serikali. Ilimradi serikali haidhuriki, na Yale mapapa na mabepari hawapata...
Tulivyowaondoa wakoloni tulikubaliana kuwa tutakuwa huru na tukaanza kujenga siasa za ujamaa na kujitegemea! Hatukusema waliopigania uhuru watakuwa miungu watu. Makabaila na mabwanyenye!
Tulikubaliana uhuru kwa wote na usawa miongoni mwa jamii yetu. Tulikubaliana kwamba binadamu wote ni sawa...
Sio neno geni kusikia mabepari.
ubepari ni mfumo wa kuongoza unaoruhusu mtu kua na mali yake binafsi.
Ni mambo mengi nchi kama ya kwetu imejikuta ikifata fomula ya kibepari japo sio kwa asilimia kubwa au kutokana na nchi yetu bado inaendelea.
Kwa nchi zilizoendelea ubepari una nafasi kubwa...
Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa?
Ubepari?
Market socialism?
Ubepari ukiwa na Soko Huria?
Soko Huria?
Command Economy?
Unknown (Yaani Made in Tanzania)
Au...
Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada;
Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
Nchi maendeleo huja ukiwa na mfumo sahihi wa maendeleo.
Duniani kuna mifumo miwili au mitatu au zaidi inayoongoza chumi za nchi
Ambapo ni Ujamaa na Ubepari
Kuna ujamaa wa aina mbili
Kuna ujamaa ulokolea au ujamaa asilia ambao ni Ucommunist na pia kuna ujamaa wa kisasa ambao ni Usoshalisti...
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake...
Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
Soma hii hapa chini
Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa na ndipo walipo tengana na Mwalimu akamwambia “tutabaki marafiki lakini niache niendelee na biashara...
Ziara ya Rais Samia Kenya imewaibua wafahidhina makanjanja wasiojua chochote kuhusu umuhimu wa mahusiano mazuri kwa manufaa biashara na uchumi kati ya nchi mbili.
Wameibuka vihiyo wenye mawazo ya kijima wanaofikiri vita vya kibiashara na mahusiano mabovu katika ya Kenya na Tanzania yana faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.