ubia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Siyo Busara Bunge Kuilazimisha Serikali Kuingia Ubia na Hospitali ya Selian

    Serikali inazo Hospitali zake katika ngazi mbalimbali. Inaendelea kuongeza idadi na ufanisi wa hospitali hizo kwa kadri ya upatikanaji wa fedha. Kitendo cha Kamati ya Bunge ya Huduma za Afya kuagiza Serikali kuingia ubia na Selian kwa haraka kinaleta mashaka mengi. Je maamuzi haya yalitolewa...
  2. Rorscharch

    Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  3. BOB LUSE

    Nahitaji mtu wa kufanya naye ubia, anayejua kupika vyakula mbalimbali vya kiswahili

    Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko. Vijana wanalalamikia...
  4. Vugu-Vugu

    Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa. Mkurugenzi huyo...
  5. me1

    Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Habari wakuu,
  6. Prof Nasibu

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
  7. Pfizer

    Twiga minerals yashinda kipengele cha kampuni za ubia na serikali

    Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini Arusha Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Cooperation imeongoza katika kipengele cha Kampuni zenye ubia na Serikali katika utoaji Gawio...
  8. comte

    Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

    Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato. Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
  9. J

    Taarifa ya rasmi ya Shirika la Nyumba (NHC) kuhusu utekelezaji wa Sera ya Ubia wa Uwekezaji

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wapangaji wa majengo ya nyumba za shirika hilo waliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam kutoa malalamiko kuwa wanahamishwa pasipokuwa na mazungomzo yoyote baina ya oande zote mbili. Hii hapa taarifa kamili kutoka NHC…...
  10. Dr Akili

    Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  11. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  12. pantheraleo

    Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  13. K

    Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

    Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane. Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
  14. Hismastersvoice

    Nimepata ujumbe kuwa TBC imeingia ubia na Airtel TV

    Leo nimepata ujumbe toka TBC ukinijulisha kuwa niangalie kombe la dunia kupitia Airtel Tv kwa kutumia simu yangu! Airtel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu, je, TBC inapoitangazia biashara kwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu nayo inalipwa? Na TBC imeipataje namba yangu ya simu.
  15. Loudspeaker

    Nahitaji ubia kwenye kuchimba Feldspar

    Hello wana jamvi, Matumaini yangu wote ni wazima asubuhi ya leo na ni siku nyingine alietupa Mungu kwa ajili ya mapambano, they say every new day as new opportunities. Mimi ni mchimbaji wa Feldspar, nimekuwa kwenye fani tangu September 2020, ambapo nilianza kwa kufanya survey ya feldspar mkoa...
Back
Top Bottom