Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe.
Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu...
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.