ubingwa morocco

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Dakika za jioooni kabisa Nabi anakosa ubingwa Morocco

    Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima. Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔 ◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca. ◉...
Back
Top Bottom