ubingwa shirikisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

    Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa. Asanteni sana na mno USM Alger FC.
  2. sky soldier

    Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
Back
Top Bottom