Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake.
Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto.
Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa...