Salute wakuu
Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.
Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa...