Na Mwandishi Wetu
TUME ya Ushindani (FCC) imewahakikishia wawekezaji kutoka nje ya nchi wanaokuja nchini Tanzania kuwekeza kwani kuna mazingira salama ya uwekezaji pamoja na kufanyabiashara.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) William Erio...