Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!
Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa...
Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba!
Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.
Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.
Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.