Dar es Salaam. Takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), zimeutaja mtandao wa simu wa TTCL katika nafasi ya mwisho kwenye kipengele cha ubora wa huduma, huku mtandao wa Tigo ukiongoza.
Katika ripoti ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotolewa mwanzoni mwa wiki, kampuni ya TTCL...