Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inajitahidi sana kuboresha na kukarabati miundombinu ya barabara lengo likiwa ni kurahisisha mnyororo wa thamani kwa bidha, mazao shughuri nyingine za kiuchumi ili ziweze kufanyika kwa urahisi lakini jitihada hizi za uboreshaji zimepewa kipaumbele...