Wanabodi,
Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine
====================================================
Kupitia ukurasa wa Instagram wa INEC, tume hiyo ya Uchaguzi imetangaza kuwa uboreshaji wa daftari...
Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye vilevi wakati wa zoezi la kuboresha Daftari la mpiga kura linalotarajiwa kuanza Desemba 27, 2024...
Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024.
Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.