Jamii Forums habari,
Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna chuo cha Serikali za mitaa, hospitali na bwawa lakini barabara iko ovyo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.