Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala inaingia kituoni. Hizo hela zinakwenda wapi?
Pia soma: Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha...