ubovu wa barabara masaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

    Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo. Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni...
  2. mrangi

    Masaki kwa matajiri inatia aibu

    Hivi barabara ya kuelekea yatch club inatia fora,unakutana na mashimo,maandaki sehemu za huko ndiko wanakaa viongozi, Mabalozi, Wageni kutoka nje. Wengine mpaka wageni wetu wanatuliza hivi huku ndiyo wanakaa matycoon mbona njia ziko ovyo. Kingine cha ajabu hao wakandarasi wanachofanya ni...
Back
Top Bottom